Wema Hauozi ni tamthilia fupi inayochunguza mgonganokati ya wenye tamaa ya kutenda maovu na wenye kero dhidi ya tamaa hiyo. Mgongano huu una madhara makubwa kwa wenye ujasiri wa kukemea maovu hayo lakini yote hayo ni kwa muda tu. Kumbe ipo siku juhudi za kuuzika wema hushindwa na badala yake mbegu ya wema huchipuza na kuzagaza matawi yake kwa kila kiumbe kuona.
Guaranteed safe & secure checkout